Mbio zetu English Premium League (EPL) 2016/2017

Team gunners, thierry henry kichogo, mtakatifu cazorla

Twende mbele turud nyuma majogoo ya anfield wako vzur, watoto wa darajan nao naona saa hizi gari ndio imewawakia kitonga
 
siye [emoji239] [emoji239] vya anfield kama vile hatuendi kumbe tunaenda, kwamba tunabeba ndoo nyie ndio mtasema ss [emoji124] [emoji124] mdogo mdogo
 
Cha ajabu ni pale unapoona eti na shabiki wa arsenal au liverpool wanapiga kelele eti ubingwa wao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tukiacha majungu hawa vijana wa klopp wananitia hofu kwa kasi yao hiyo!
 
siye [emoji239] [emoji239] vya anfield kama vile hatuendi kumbe tunaenda, kwamba tunabeba ndoo nyie ndio mtasema ss [emoji124] [emoji124] mdogo mdogo
Kama true colour tumeachwa mipoints kibao tukaja kuwakuta njiani mjue bluuezz tunatabirika vzr kubeba ndoo pia.
 
Cha ajabu ni pale unapoona eti na shabiki wa arsenal au liverpool wanapiga kelele eti ubingwa wao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni haki yao ya kikatiba ya fifa!
 
Hivi na nyie wanyanyua vyuma mnaota ubingwa bila kupepesa hata macho??
 
chelsea is like a diesel engine , inapoanza safari inaanza taratibu ikishachanganya ndo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…