RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 778
km kawa mkuu sisi sio watu wa kuongea sanaaa kwetu unachezea tuKaribu jogoo!
Kujiamini ni swala mojawapo kati ya parameters nyingi zinazo decide final output! The matter of fact ni kwamba you cannot fix all parameters unto the end to give your desired output. Mfano: majeruhi, mahusiano baina ya wachezaji wenyewe au baina ya wachezaji na management, kuimarika kwa timu pinzani, waamuzi uwanjani, media, commitment ya wachezaji, n.k. All these parameters can change at any time T to affect pitch results negatively or positively. Ndiyo maana nikasema it is too early to dream epl championship at this moment!Jiamini na team yako tuna team nzuri sana
Probability kwenye football haziepukiki ila utambue siku zote ushindi unaanza kujiamini (confidence). Binafsi sioni kwanini Chelsea tujiweke nje au tusijihesabie kati ya timu bora kwa performance yetu.Kujiamini ni swala mojawapo kati ya parameters nyingi zinazo decide final output! The matter of fact ni kwamba you cannot fix all parameters unto the end to give your desired output. Mfano: majeruhi, mahusiano baina ya wachezaji wenyewe au baina ya wachezaji na management, kuimarika kwa timu pinzani, waamuzi uwanjani, media, commitment ya wachezaji, n.k. All these parameters can change at any time T to affect pitch results negatively or positively. Ndiyo maana nikasema it is too early to dream epl championship at this moment!
Kama umesoma hesabu za probability basi nina uhakika unaelewa kwamba confidence level (interval) is 95% siyo 100%. That 5% is room for mis-target! Why mis-target? Because of the so many parameters involved in football I mentioned above that determine pitch results!Probability kwenye football haziepukiki ila utambue siku zote ushindi unaanza kujiamini (confidence). Binafsi sioni kwanini Chelsea tujiweke nje au tusijihesabie kati ya timu bora kwa performance yetu.
Acha utani aiseeLiverpool mtakuwa kati ya mabest loser!
Sawa mkuu! But logically lazima tuwe na most likely kusaidia angalau kupata analysis za team zote otherwise kusingekuwa na haja ya mashindano tungeisha jua bingwa.Kama umesoma hesabu za probability basi nina uhakika unaelewa kwamba confidence level (interval) is 95% siyo 100%. That 5% is room for mis-target! Why mis-target? Because of the so many parameters involved in football I mentioned above that determine pitch results!
Ni kweli mkuu!Sawa mkuu! But logically lazima tuwe na most likely kusaidia angalau kupata analysis za team zote otherwise kusingekuwa na haja ya mashindano tungeisha jua bingwa.
Vigogo wa ligi unamanisha hapo kwanzaWakubwa ebu leo tuongelee kuhusu kuja juu(namba moja) kwa CHELSEA labda ni uwezo au udhaifu wa timu pinzani hasa vigogo wa ligi MAN CITY, MAN U, ARSENAL na LIVERPOOL??
Kweli wewe umeweka ushabiki pembeni kiukweli Liverpool, Chelsea na Mancity binafsi naona hizi team tatu ni likely kuwa mabingwa wa EPL.Chelsea kukaa hapo si washangai hata liver akikaaa ni team 2 ambazo mwanzo wa ligi hazikupewa nafasi kubwa lakni pamoja na hapo zimeamua kukaza buti na kuweka pamba skioni za wachambuzi hata ukiziangalia hizo team 2 hizo zinapo cheza kuna tofauti kubwa na zingine zinacheza kiushindani sana mmi ni hayo tu karibu