Wadau habari zenu!!
Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!!
Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!!
Asante