Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Dagaa miatano unakangia vitunguu,nyanya,plipli hoho na bamia mboga tayari
 
Maharage ya jero 😃😃 mabachelor wanajulikana tu😃
 
Natamani nijue kitu zaidi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…