Mboga mPya

Mboga mPya

Ameir Eshaq

Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
35
Reaction score
1
panya.jpg



iki andaliwa vyema kabisa special kwa mwaka mpya 2011....
 
Kwa watu wa Lindi na Mtwara sio mboga mpya bali ni mboga ya kawaida toka zamani kama vile Wahaya wanavyokula panzi na kujifanya eti sio panzi bali ni senene.
 
Hii inafaa uwe umepiga bia za kutosha,vinginevyo hailiki!!
 
Mboga bomba, nimewala sana utotoni wakati nachunga ng'ombe....mnawachimbua . koka moto...banika ...kulaaa.....shibeeee....home ugali hupandi!
 
Mboga bomba, nimewala sana utotoni wakati nachunga ng'ombe....mnawachimbua . koka moto...banika ...kulaaa.....shibeeee....home ugali hupandi!

Hawa ni paya wa porini? (Panya buku) yeah wanaliwa mboga tamu sana, chumvi pilipili kwa mbaliii.

Sikonge anaijua hii mboga inaitwa "Masenge" kwa kilugha chake.
 
Hawa ni paya wa porini? (Panya buku) yeah wanaliwa mboga tamu sana, chumvi pilipili kwa mbaliii.

Sikonge anaijua hii mboga inaitwa "Masenge" kwa kilugha chake.

au Pwela kwa wale tunaotoka huku uwanda wa bonde la ufa. kwenye club za kimpumu huwakosi hawa hadi leo. ukionya huachi ni kama kuonya kiti moto, ukianza tu kuacha labda uambiwe ina sumu.
 
Duh, sasa unaanza kumla wapi huyu jamaa nyuma au mbele? Unanikumbusha kijarida/kitabu cha hadithi 'Panga la Shaba'.
 
Zambia hawa kwa ugali wanapenda sana na DRC ukichinjwa nyani ujue umeheshimiwa sana.
 
Assuming you have a knife, the best way to skin a rat is to cut horizontally across its back, about halfway up its body. You can then insert 2 fingers of each hand under the skin through the slit, and pull apart. The skin should come off fairly easily. You can then split the rat down the chest, and pull the guts out with your fingers. After you have done this, you can cut off any of the bits you really don't want to eat. And move on to cooking.
 
Niliishindwa mboga hii nilipokuwa nasoma Chidya boys Masasi,sio siri ukikaa ukafikiria ni ngumu kuila labda uwe na mazoea toka utotoni
 
ukitaka kuumla nafikiri unaanza kwenye mkiya sijawahi kula but wanaonekana watu kninoma
 
Back
Top Bottom