Curious Naturally
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 528
- 523
Wapendwa,
Kuna tetesi zipo sana mkoani Arusha kuwa mafuta ya kupikia aina ya Korie, na pia mboga za majani aina ya Chaines (wengine wanaziita Chinese) hupunguza nguvu za kiume, na ndio maana hata ukipita kwenye migahawa, hawauzagi mboga hizo sababu hawatapata wateja.
Naomba kufahamu ukweli jamani, angalau pressure ipungue kidogo,