Sio kweli, mbogamboga ikiwemo chinizi ni rafeji nzuri ktk mfumo wa mmeng'engo wa chakula. Mboga hzo zcpooshwa na kupkwa vzur huleta shida ya tumbo haswa magonjwa ya tumbo pamoja na minyoo tumboni.
hata hvyo, mbogamboga kwa ujumla wake znapaswa kuliwa zkiwa zinechemshwa ili kupata virurubisho vya kutosha toka ktk mboga hzo.
Upande wa korie, ni kama mafuta menfine ya viwandani, huwa yana kiwango kikubwa cha kolestrole, kitu kinachosababisha damu kutotembea vzur ktk mishipa hvyo huathiri usimamaji mzuri wa uumey. Wataalamu wanashauri wanaume hata kwa wanawake nawatoto kuepuka matumizi makubwa ya mafuta ya viwandani ktk mapishi. Pamoja na hilo wanashauri mazoezi ya mara kqa mara haswa nyakati za asubuhi kwani husaidia mwili kujipanga wenyewe vzuri dhidi ya matatizo mbalimbali ikiwemo kiwango cha kolesteol ktk mishipa.