Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC uliopangwa kupigwa cku ya j3, yaan keshokutwa.
Mbogo Maji wamepost kwenye ukurasa wao wa insta kwa kusema kulipa kisasi ni haki yaani Al Qisas Haqu.
Ngoja tuone kama Mbogo Maji wataweza maana wamewabikiri Yanga na kuwafunga Azam.
Mbogo Maji wamepost kwenye ukurasa wao wa insta kwa kusema kulipa kisasi ni haki yaani Al Qisas Haqu.
Ngoja tuone kama Mbogo Maji wataweza maana wamewabikiri Yanga na kuwafunga Azam.