Mbolea aina zote bei iko juu serikali mnawaza nini juu yetu wakulima?

Mbolea aina zote bei iko juu serikali mnawaza nini juu yetu wakulima?

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu salam.
Hoja kubwa ni serikali ilisema imefuta kodi kwenye mbolea, sasa kwa nini bei iko juu bado afadhali enzi ya jk kuliko sasa, mnatuwazia nini sisi watanzania wakulima?
 
Back
Top Bottom