C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Sep 21, 2017 #1 Wakuu salam. Hoja kubwa ni serikali ilisema imefuta kodi kwenye mbolea, sasa kwa nini bei iko juu bado afadhali enzi ya jk kuliko sasa, mnatuwazia nini sisi watanzania wakulima?
Wakuu salam. Hoja kubwa ni serikali ilisema imefuta kodi kwenye mbolea, sasa kwa nini bei iko juu bado afadhali enzi ya jk kuliko sasa, mnatuwazia nini sisi watanzania wakulima?
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,134 Reaction score 7,338 Sep 21, 2017 #2 Acha kupiga kelele wewee,nawe pandisha mazao yako ili kwenda sawa
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,361 Reaction score 2,166 Sep 22, 2017 #3 xav bero said: Acha kupiga kelele wewee,nawe pandisha mazao yako ili kwenda sawa Click to expand... apa utata serikali inaingilia huwezi pandisha kiholela
xav bero said: Acha kupiga kelele wewee,nawe pandisha mazao yako ili kwenda sawa Click to expand... apa utata serikali inaingilia huwezi pandisha kiholela