taikuny
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,207
- 715
Wakulima na wafugaji
Nafanya jaribio la kutengeza mbolea asili au mboji. Kwa kutumia majani niliyojaza apo kwenye karo
Nitaweka
Mbolea ya ng'ommbe au mbolea ya mbuzi /kuku/bguruwe/popo n.k
Nitaweka
Majani mabichi ya miti kama milonge mrusina mikunde poli
Nitaweka
Udongo mwesi
Mwisho na fukia kwa mpangilia na kuiacha kwa siku 30 nataraji kupata tan 10 /15 za mbolea ya mboji inafaa kwa mazao yote
Karibu shamba