Mbolea bora na utengenezaji wake ni rahisi pia

Mbolea bora na utengenezaji wake ni rahisi pia

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo hayana ubora kimataifa.

Ipo haja ya kuanza kuzalisha mbolea bora za asili kutokana na mimea + wanyama ...

Ebu tumia bando lako vizuri angalia mbolea inayotengenezwa kutokana na mmea wa comfrey. Mbolea hiyo ni bora sana na utengenezaji wake ni rahisi pia. Ingia google andika Grow Your Own Fertilizer Using Comfrey ....

Kwa maelezo zaidi iwapo utakumbana na changamoto / kizingiti tuonane inbox au pia simu / tuma ujumbe / whatsapp me kwa +255 655 533 543

Com Fert fliyer .jpg


Com-fert Tangazo.jpg


shamba comfrey.jpg
 
Back
Top Bottom