Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

Nzelu za bwino

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
400
Reaction score
484
Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban.

Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
 
Uko mkoa gani ? Moshi, mbeya , njombe , songea , Kagera maana mikoa yote hiyo Kuna wilaya zinazolima kahawa na ni aina Gani ya kahawa umelima na ina miaka mingapi Hadi sasa shambani , je unatumia madawa gani kudhibiti visumbufu , mpangilio wa umwagiliaji na upandaji miti ya vivuli shambani mwako ukoje ?
 
Weka CAN
CAN ni mbolea yenye Calcium ambayo Ina kazi ya kuzalishia, huufanya mme utoe maua mengi na kunenepesha matunda
 
Weka CAN
CAN ni mbolea yenye Calcium ambayo Ina kazi ya kuzalishia, huufanya mme utoe maua mengi na kunenepesha matunda
Asante ni wakati gani mzuri wakuweka hiyo mbolea ,je ni weke mwezi gani?
 
Back
Top Bottom