Uko mkoa gani ? Moshi, mbeya , njombe , songea , Kagera maana mikoa yote hiyo Kuna wilaya zinazolima kahawa na ni aina Gani ya kahawa umelima na ina miaka mingapi Hadi sasa shambani , je unatumia madawa gani kudhibiti visumbufu , mpangilio wa umwagiliaji na upandaji miti ya vivuli shambani mwako ukoje ?