mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
hello JF naomba wale wajasiriamali ambao wanafanya kilimo cha vitunguu wanipe uzoefu wao juu ya utumiaji wa mbolea ya minjingu.........nina mpnago w akuitumia kwenye kilimo cha vitunguu sehemu yenye joto.......je ni mbolea nzuri?