mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 768 Feb 19, 2013 #1 hello JF naomba wale wajasiriamali ambao wanafanya kilimo cha vitunguu wanipe uzoefu wao juu ya utumiaji wa mbolea ya minjingu.........nina mpnago w akuitumia kwenye kilimo cha vitunguu sehemu yenye joto.......je ni mbolea nzuri?
hello JF naomba wale wajasiriamali ambao wanafanya kilimo cha vitunguu wanipe uzoefu wao juu ya utumiaji wa mbolea ya minjingu.........nina mpnago w akuitumia kwenye kilimo cha vitunguu sehemu yenye joto.......je ni mbolea nzuri?