Sio ugojwa, yote mahaba. Ni kama kuzama bonde la uvinza hivi. Binafsi, Huwa namsafisha pua mwenzangu kwa ulimi.
Naombeni ushauri. Napata kichefu chefu nikiona mbolea hata ya kuku kama siyo ya binadamu. Ila ya mpenzi wangu hata kushika ainipi tabu. Je huu ni ugojwa?
disgusting! cku nikiwa mod humu kuna watu ningewafungia maisha kwa upupu wao.
Husninyo ebu do ze nidiful nletee kakiknmbe ka chai
ha ha ha ha!
Njo uchukue mwenyewe kikombe. Si unapajua.
jamani mbavu zangu mie, tumehamia kwenye mbolea!? kwani huyo mwenzi wako mgonjwa hadi ashindwe kwenda kuhifadhi mbolea yake?
Huyo haamanishi mbolea ya uvinza ana amanisha mbole ya kurasini shimo la udongo kule kunakomwagwa maji taka.
:A S confused::confused2::A S-confused1::noidea:
kweka pazia machoni mkuubinamu huo mgongo taratibu binamu
kumbe ni wa kuchimba tope bana!!Labda ananyea kwenye mfuko wa rambo
ha ha ha ha!
Njo uchukue mwenyewe kikombe. Si unapajua.