Mbolea ya ruzuku ipo au haipo?

Mbolea ya ruzuku ipo au haipo?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Leo nilienda kujiandikisha ili na mimi niwekatika ule mpango wa mbolea hiyo ya RUZUKU

Maajabu afisa mtendaji akaniambia mimi sistahili kuwa katika mpango huo kwani najiweza sababu namiliki ekari 20

Hivyo waliolengwa ni wale wanaomiliki ekari 3 kushuka chini

Swali langu kwa Waziri wa Kilimo, je Ni nani mwenye vigezo vya kupata mbolea hii?

Hii imetokea Kijiji cha Mhukuru, Songea
 
Nilijua lazima mtakuja na lawama za kuitukana serikali na waziri, ikiwa toka mwanzo utaratibu uliwekwa
 
Back
Top Bottom