Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mkuu hebu tufafanulie utaratibu ulikuwaje?Nilijua lazima mtakuja na lawama za kuitukana serikali na waziri, ikiwa toka mwanzo utaratibu uliwekwa
Utaratibu upo wazi, utafute utaujua
Ni kata 1 hiyo, na sio njia panda.Ok.muhukuru NJIA panda ya kwenda mkenda sio