lake Ngonsi
Member
- Dec 18, 2022
- 13
- 48
Taarifa ya habari Leo kwenye vyombo mbalimbali waziri wa kilimo amesema msimu huu kulikuwa na changamoto ya usambazaji wa mbolea.
Hivyo, msimu ujao watawatumia/watatumia vyama vya ushirika. Ni jambo jema kabisa.
Mimi nilikuwa ninawaza hivi hawawezi kuwatumia JKT?
JKT inahusika na Shughuli za kilimo na huku makambi yake yametawanyika nchi nzima....Kama njia ya kutumia mashirika ikija kuwa na changamoto zaidi, basi waone namna ya kurahisisha ili JKT wawe wanafanya kazi hiyo.
Good luck Kilimo Tanzania