Mbona akiwa mbalamwezini huanzisha mazogo?

wengine huwa wanaingia pluto ndo maana hawana makuu.keep it up mwaka huu nakusubiri bongo star search mi ndiye director nafasi yako nimeshakuwekea unasemaje?

Asnam, siyo wito wangu huo............
 
Last edited by a moderator:
Duh!!!!!!!! but you have got something special....................any way au usikute huwa tunajuana lakin kwakua humu kila mtu kajificha basi na mm naliacha hivyo....................????? ?????????

gfsonwin..................you never know in this strange world...............
 
Last edited by a moderator:
Hii ni hali ambayo husababishwa na homoni zinazohusika kwa mtu mwelewa huweza kugundua na kuirekebisha mapema huwa inatokea automatical mwanaume ukiligundua take easy

The secretary ninaafiki na misimamo yako..........
 
Last edited by a moderator:

muhanga.sehemu kubwa ni kutojiamini na kudhani pengine huo ndiyo wakati wa jamaa kukamilisha mpango wa kando.............na huwa wanasikia hasira kwa sababu hudhani hawana sauti...........
 
Last edited by a moderator:

Hizo siku Muumba kaziwekea ipumzike ukiendelea nayo yatakayokukuta utajuta..........muhanga
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Ruta. Hii ni kawiada kwa baadhi a wadada.

[MENTION]Remmy [/MENTION]hizi pole tupe wengi ambao ni wahanga....................siko pekee yangu.
 

Mr Rocky siye tufaidi yote humu ndani ya JF ya Ngoswe atajijua mwenyewe..............
 
Last edited by a moderator:
muhanga.sehemu kubwa ni kutojiamini na kudhani pengine huo ndiyo wakati wa jamaa kukamilisha mpango wa kando.............na huwa wanasikia hasira kwa sababu hudhani hawana sauti...........

kutokujiamini ni tatizo kubwa, wengi wanafanya hayo kama njia ya kujihami wakiwa sababu kubwa ni hiyo ya kutokujiamini
 
...Mkuu ruta si wote...Wengine wanakuwa na mapenzi moto moto ya kutaka kukumbatiwa na kupigwa mabusu moto moto.

 
Last edited by a moderator:
[FONT=century
gothic]...Mkuu ruta si wote...Wengine
wanakuwa na mapenzi moto moto ya kutaka kukumbatiwa na kupigwa mabusu
moto moto.

[/FONT]

kweli. usiwapake wote rangi kwa brashi moja!
 
Last edited by a moderator:
haya bwana..no comment coz sipendi kubishana na ukweli

Kayla umepotelea wapi siku hizi mbili hata facebook hupatikani.........what is up?
 
Last edited by a moderator:
Si unajua wengie wanaamini asipofanya mwanaume ataenda kwingine,
wengine wana joto sana, hasa wale wenzangu ambao
wanasubiria tu hapo home hawana shughuli za kufanya.

Mamndenyi hao wanaokaa nyumbani wakati mwingine nao hubuni miradi ya chapuchapu na mzee akirui hukauka kama vile siyo wao.........................
 
Last edited by a moderator:
[FONT=century &lt]...Mkuu ruta si wote...Wengine
wanakuwa na mapenzi moto moto ya kutaka kukumbatiwa na kupigwa mabusu
moto moto.
[/FONT]

BAK wakiwa mbalamwezini hata hao hubidi kutulia kama vile kuku ananyolewa kwa wembe............
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
kweli. usiwapake wote rangi kwa brashi moja!

kookolikoo ikija mbalamwezini brashi huwa moja nayo ni ya Muumba tu na wote hutulia mithili ya kumwagiwa na maji ya theluji...............
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…