Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Diamond ana mkataba na Voda na fiesta ni ya Tigo...mkataba unambanaMbona Diamond hayupo? Subiri mkuu si wanasema wenyewe wanafanya usajiri mkoa kwa mkoa
labda masuala ya fedha na kimkatabahabar zenu wanajamvi
nmekua nikijiuliza sana bila majibu mbona beka flavour hayupo katika tamasha hili la fiesta,kwa anaeweza kufaham sabab tunaomba atusaidie kutujuza kinachoendelea....
Nawasilisha
Pale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)Diamond ana mkataba na Voda na fiesta ni ya Tigo...mkataba unambana
ule mkataba aumbani yeye kuperform fiesta.. chibu mwenyew alisema atakuepo kwenye baadh ya mikoa so get readyDiamond ana mkataba na Voda na fiesta ni ya Tigo...mkataba unambana
anhaa aiseeule mkataba aumbani yeye kuperform fiesta.. chibu mwenyew alisema atakuepo kwenye baadh ya mikoa so get ready
Mwaka jana hakushiriki kwa ajili ya hizihizi sababu za kimkataba..Anyways...ngoja tusubiri mkuuPale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)
JamaaniiiBeka flava ndio nani ? Au ndio Jina la ubatizo la lavalava
Pale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)