Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 684 Dec 17, 2017 #1 Hivi hawa jamaa wako serious na Product zao maana Ofcoz product zao ni Affordable ila Garantii ni Muda Mchache Hali inayopelekea kua na mashaka na product zao....Wenye uzoefu na product zao tujuzane jaman ...Ili Ijulikane
Hivi hawa jamaa wako serious na Product zao maana Ofcoz product zao ni Affordable ila Garantii ni Muda Mchache Hali inayopelekea kua na mashaka na product zao....Wenye uzoefu na product zao tujuzane jaman ...Ili Ijulikane
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Dec 17, 2017 #2 sasa mkuu kifaa kimetumika ulaya miaka nenda miaka rudi kinakuja Tanzania kama mtumba halafu unategemea upewe warranty? ninavyojua kitu used hakina warranty kabisa, wale wakisema miezi mitatu au 6 wanakupa warranty ni bonus tu kwako.
sasa mkuu kifaa kimetumika ulaya miaka nenda miaka rudi kinakuja Tanzania kama mtumba halafu unategemea upewe warranty? ninavyojua kitu used hakina warranty kabisa, wale wakisema miezi mitatu au 6 wanakupa warranty ni bonus tu kwako.
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 684 Dec 17, 2017 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: sasa mkuu kifaa kimetumika ulaya miaka nenda miaka rudi kinakuja Tanzania kama mtumba halafu unategemea upewe warranty? ninavyojua kitu used hakina warranty kabisa, wale wakisema miezi mitatu au 6 wanakupa warranty ni bonus tu kwako. Click to expand... Aaaaah sawa sawa mkuu
Chief-Mkwawa said: sasa mkuu kifaa kimetumika ulaya miaka nenda miaka rudi kinakuja Tanzania kama mtumba halafu unategemea upewe warranty? ninavyojua kitu used hakina warranty kabisa, wale wakisema miezi mitatu au 6 wanakupa warranty ni bonus tu kwako. Click to expand... Aaaaah sawa sawa mkuu