Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Huu ubaguzi unaofanywa na tume ya uchaguzi na wahusika wake wanaojiita serikali ya CCM mwisho wake sio mzuri.
Kiukweli, hata mnaposikia magaidi hawakuamka na wakawa magaidi bali ni kuminywa na kunyimwa haki katika nchi zao mwisho wa siku ndio bora tukose wote. Hii naona hali inajengeka kwa kasi hapa nchini.
Hali hii ya ubaguzi imeanzia kwa mwenyekiti wa CCM hasa kwa wapinzani na inafika mahali haoni hata aibu kuuliza kiongozi wa hapa ni chama gani? Yaani nchi hii haki inapatikana kwa kuwa chama flani kama sio hvyo unaambiwa ulikosea kuchagua ndio matunda yake.
Kiongozi kama mbunge au diwani kazi yake ni kuwasilisha hoja na mrekelezaji ni serikali ndio wakusanya kodi na ndio watekelezaji.
Ila ninachokiona mwisho wa siku watu watalipiza kisasi kwa kuonewa kwa muda mrefu na naona kuna watu wanataka tufike huko.