Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.

Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-

STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.

Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau

kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?

Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!

Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!

Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.

Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.

muwe wapole hizi ni salamu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…