Unitue.Tutaangalia tujadili kulingana na mazingira ya muda huo
Sanaaaaa!!Haya maana kweli u mzito.
Hata mi nikataka kushangaa..List iwe fupi hivyo..Wewe sio wa kukosa reserve hata mmojaKuna ambao nimewasahau hivyo, bado sijamaliza.
Umuache aunt yangu kabisaaaa.
Reserve muhimu sanaaaaa.Hata mi nikataka kushangaa..List iwe fupi hivyo..Wewe sio wa kukosa reserve hata mmoja
Bora haujawaorodhesha maana thread nzima ungejaa wewe tu.mganga hajigangi
Lini umeanza kutengeneza vya kufunika makalio??Dada shemeji wako ana makalio makubwa sana..Sina za saizi Yake..uwa namshoneshea za vitenge
Bro..Nakukabidhi umchukue vipimo kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro mie fundi mzuri saana naomba tenda.
Swahiba, wewe wa kwako humu ni nani?mganga hajigangi
Teh teh..Mi kiraka bro..Lini umeanza kutengeneza vya kufunika makalio??
Sina hizo taarifa aisee..