Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Kwa hiyo umri unaenda mtu anajikuta anachitchat humu na hakuna alilolifanya ndiyo mashamsham yanapungua?

Au mimi mleta uzi niache kuwaza mapenzi umri unaenda mkuu?

Btw, nimekupa like.
hahaaaa
naona hujamuelewa kabisaaa daahh jf bwana
 
Kuna kapo moja humu ilisababisha shababy moja humu akapigwa bani ya ol laifu....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
jf kapo kwisha habari wallah, maana sio kwa kufukuana hadi IG za watu haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…