Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Infwakti niko na my waifu wangu janeth1 hapa Bukoba tunakula senene na ndizi.
Bezikale sisi tunapendana milele.
Bai ze wei, nitatuma tiketi ukuje Bukoba kujumuika.
Asprin, Baba V na Valentina walishakuja mara kadhaa.
Akchware kapo yetu ni ya milele.
[emoji23] [emoji23] Umesahau ujumbe huo umeletwa kwa msaada wa Chibuku mikisa makata bureki.
 
Infwakti niko na my waifu wangu janeth1 hapa Bukoba tunakula senene na ndizi.
Bezikale sisi tunapendana milele.
Bai ze wei, nitatuma tiketi ukuje Bukoba kujumuika.
Asprin, Baba V na Valentina walishakuja mara kadhaa.
Akchware kapo yetu ni ya milele.
Hahahahaaaa hii ni kali aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaaa hii ni kali aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Owukee, tumeshahamia Geneva, nakualika kwa dhati kabisa, my waifu wangu janeth1 amekwenda shoping mara moja hapo Paris, niko nacheza na farasi wangu mweupe, wale wengine wanapumzika.
Vipi nikutumie tiket ya KLM, Emirates, KQ au iletwe private jet na rubani wangu wa 7 aliyesomea Roma?
Halafu Daby yuko na Erickb52 pale makaburini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah hahahahaaa mkuu unawafaham sana hawa wandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…