Mbona video zipo nying tu kwenye page yake insta.. au wako Diamond wawil?Tatizo la kiufundi lilitokea? Kwenye camera Au? Eti Tatizo likitatuliwa picha zitatumwa....? WTF
Give us a break
Sijaona jibu,zaidi ya mipasho tu. Na mimi na mipasho ni tofauti.Inawezekana ukafuatilia mambo ya wanaume halafu ukiona hauna unalopata ukajikuta unazusha tu vitu sababu ya chuki lkn asikwambie mtu vijana wa siku izi kwa mama watu wazima hawana mzaha ukijitia domo kubwa watakutag na vitaulo kashikilia kiuno cha mamio hata ney kajitia mdomo kaambiwa akamuulize ex wake na kwa maneno ya dmpoz ile juz jamaa itabidi amchunguze vzuri mama ake ili siku nyingine awe na uhuru wa kuongea in public, pete ya kijani sina jibu nalo coz mm sio mshirikina ila washirikina wanazijua kazi za izo pete ndo mana wameongea kuwashutumu wenzao
Ile ni VIP show si ya uwanjaniMbona video zipo nying tu kwenye page yake insta.. au wako Diamond wawil?
Jibu lipo apo na umeliona ila sikulazimishi kwa faida ipi?Sijaona jibu,zaidi ya mipasho tu. Na mimi na mipasho ni tofauti.
Kweli kabisainahitaji mshirikina kumtambua mshirikina mwenzake.....
mmeshindwa kujaza uwanja mmeogopa kutupia picha kama ilivyo Ada yenu, Eti Tatizo la kiufundi....Give yourself a break, nini tatizo kwani? Mambo uyafatilie mwenyewe afu uombe kupewa break. SMH.
Ile ilikuwa show ya ukumbini, kwa mujibu wa Ratiba yake ilikuwa apige show ya uwanjani kesho yake.Mbona video zipo nying tu kwenye page yake insta.. au wako Diamond wawil?
Aiseeee watu mna hasira utafikiri ni lazima kupostIle ilikuwa show ya ukumbini, kwa mujibu wa Ratiba yake ilikuwa apige show ya uwanjani kesho yake.
Ndio hizo picha hatuzioni
Povu la nini?Idiot, mmeshindwa kujaza uwanja mmeogopa kutupia picha kama ilivyo Ada yenu, Eti Tatizo la kiufundi.... Konyo nyie
Ahaha umeua Mkuu.Aliishiwa hela za kununua mashabiki ili wajaze uwanja .... (akili za majirani)
Mnh Dem Boy?Inawezekana ukafuatilia mambo ya wanaume halafu ukiona hauna unalopata ukajikuta unazusha tu vitu sababu ya chuki lkn asikwambie mtu vijana wa siku izi kwa mama watu wazima hawana mzaha ukijitia domo kubwa watakutag na vitaulo kashikilia kiuno cha mamio hata ney kajitia mdomo kaambiwa akamuulize ex wake na kwa maneno ya dmpoz ile juz jamaa itabidi amchunguze vzuri mama ake ili siku nyingine awe na uhuru wa kuongea in public, pete ya kijani sina jibu nalo coz mm sio mshirikina ila washirikina wanazijua kazi za izo pete ndo mana wameongea kuwashutumu wenzao
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani mnamfuatilia huyu jamaa,KUNA TATIZO LA KIUFUNDI LILITOKEA NDIO MAANA HAKUJAWA NA MAPICHA PICHA,LAKINI PINDI TATIZO LIKITATULIWA ZITATUPIWA KAMA KAWA. Na hiyo shoo ni katika shoo ambazo ALIJAZA SANA HAIKUPATA KUTOKEA.