Mbona Dr shika hakuonekana kweny msiba

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Viongozi wa vyama mbali mbali na serikali pamoja na wasanii mbalimbali walijitokeza kweny hafla ya kumuuga KAMANDA mbona Dr shika hakuonekana au nae alikuwa na bifu na marehemu
 
Alisema anaondoka amegundua hapa siyo nyumbani, nyumbani gani mtu anawekwa mahabusu hovyohovyo tu
 
alikuwa mnadani. mngeaga saa 9 ingependeza
Kwa hiyo jamaa anapenda tisa tisa tu! Maana kule alisema mia tisa sasa na huku saa tisa. Mbona yule mwenzake mamaaa nakufaaa alikuwepo au yeye hakualikwa 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…