Mbona hamjatupa mrejesho shoo ya jana dodoma team WCB

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa
 
Naona wanachungulia na kusepa
 
Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majungu hayo sasa..soon utaletewa keep waiting!
 
Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa
Usijali sana Ma'mdogo, hizi hapa nimekuwekea.
 
Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa
mtoa mada ulikuwa unahitaji nyingine??
 
Ile ya Mombasa ni party ya harisi au nini watu wachache sana aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KKTE="enock yusto, post: 19116144, member: 228685"]Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa[/QUOTE]
Hizi fani za wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…