Mbona hamuulizi mkoa wenye wanaume wazuri zaidi!!??

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Kuna thread inauliza mkoa wenye wasichana/wanawake wazuri. Mbona watu hawaulizi mkoa wenye wanaume wazuri?? Kwa swali hili, mimi naanza kujibu ni MKOA WA MARA.
 
mkoa niliiolewa (MWANZA) ndio nadhani una wanaume wazuri ukifatiwa na ule niliotoka (KLM)
 
Mmmmmhhhh, uzuri wa wanaume is a broad spectrum. Kila msichana/mwanamke ana vigezo vyake. Lakini kama kinachoongelewa ni mwonekano basi mikoa mingi tu ina wanaume wazuri including Mwanza, Iringa, Kilimanjaro, Tanga n.k.
 
sura/masharobaro au mnamaanisha nini? Mashoga wapaka poda? Wenye pesa ,, wasomi , wachapa kazi, wakulima( wasukuma) or wapiga gahawa ? Au wala tigo?
 
UZURI WA MWANAUME SIO SURA...
UZURI WA MWANAUME SIO PESA...
MAMIISOO OOH...
UZURI WA MWANAUME NI MASHINEE....

Mnaikumbuka hiyo nyimbo ya dk Remmy........????????
 
mkoa unaotoa wanaume wenye kupendwa na kina dada wengi isipokua mim unaitwa WALLET.
 
ukiwa na upendo na pesa za mahitaji.....
utagombewa na wadada tanzania nzima
 
Arusha wanaume wengi wazuri utafikiri black americans ila meno sasa lol, me i go for Mwanza wasukuma wazuri jamani wamepanda kwa juu wana mamashine ya kufa mtu wanapenda mpaka utadhani zuzu, ila wakipata nyumba ndogo utatamani kukimbia hawakumbuki tena nyumbani,
kwa kifupi hawawezi kugawanya penzi wakifall kwa mwingine mapenzi yanahamia hukohuko we mama wa home utajijua. anaebisha aje na vidhibiti
 
mkoa anakotoka late dr.Lemmy mie kwangu ndo unaoongoza
 

shantel mimi msukuma lol unasemaje?

halafu we unaonekana mashine ndogo hupendi kabisa...

na hiyo blue lagoon,umewahi tazama filam yake?
 
mkoa anakotoka late dr.Lemmy mie kwangu ndo unaoongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…