Mbona hamuulizi mkoa wenye wanaume wazuri zaidi!!??

Wakurya ful nondo...nenda Mara akina dada mkapate rahaa...msidanganywe huko kwingne hamna kitu,kiumeni ni Mara
 
sura/masharobaro au mnamaanisha nini? Mashoga wapaka poda? Wenye pesa ,, wasomi , wachapa kazi, wakulima( wasukuma) or wapiga gahawa ? Au wala tigo?
Hiyo bold na wanyalu au vipi!
 


Kwa mantiki hii hakuna mkoa/mikoa yenye kuwa na watu wenye sifa hizi.Ina maana sifa anaweza kuwa nazo mwanaume kutoka mkoa wowote.
 
Mwanaume mzuri kwa kitu gani? Sura, tabia. Kama ni sura kila binadamu ni mzuri na kwa maana hiyo mikoa yote ya Tanzania ina wanaume wazuri. Vinginevyo, unamkosoa Mungu kwamba kaumba binadamu wazuri na wabaya. Na tabia zinakuwa mbaya kwa sababu hili ni swala la malezi.
 
duh!!hapo kwenye red sasaaa ndo balaa..sio kweli wote meno ya meozaa
 
Kwa maoni yaliyotolewa basi WASUKUMA wanongoza Tz bara kuwa ni wanaume wazuri kwa sifa ya kujua kupenda na kuwa na mashine yenye ubora unaopendwa na dada zetu.....
 
Kwa maoni yaliyotolewa basi WASUKUMA wanongoza Tz bara kuwa ni wanaume wazuri kwa sifa ya kujua kupenda na kuwa na mashine yenye ubora unaopendwa na dada zetu.....

Ndio mmecoclude hivi?
 
wakuu uzuri wa mwanaume ni zaidi ya muonekano wa nje,kwa mwanamke inaweza kuwa sawa maana ni mapambo kwa uhalisia wake
 
mwanaume uzuri wa sura!!umbo!?au ni uzuri gani unaongelewa hapa?uzuri is a broad term

Kila kitu yaani full pakej inapatikana kwake, haya mama tuambie wewe wapi unafagilia?
 
wakuu uzuri wa mwanaume ni zaidi ya muonekano wa nje,kwa mwanamke inaweza kuwa sawa maana ni mapambo kwa uhalisia wake

Ndio tunajua, ila hawa watu ina onekana wengi wao kutokana na posts wamebarikiwa kila kitu
 
Mi kama sijaelewa vile wanatafutwa wanaume wazuri wa sura kama wanavyojiremba mabwabwa? Au mnazungumzia ma gentleman wa maukweli ambao kwa Tanzania wanajulikana kijiographia kuwa Mbeya tunaongoza tukifuatiwa na wasukuma wa Mwanza hilo halina mjadala lakini kama wanatafutwa wanaume wapaka poda na wanja hao wako mikoa ya pwani na Zanzibar huko mie simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…