Mbona haniombi kitu?

I think she's buzy luving u she ain't got no tym for ur madafu change.
 
Mkuu jipigepige kijizawadi chochote kidogo cha siku za xmas, birthday anniversary ama siku yoyote ya kumsaprize, chochote kile perfume, saa, cheni, nk
 
huko chini kwako si anapapata?hana kingine
 
kuna tatizo kubwa sana, yani ina maana hata vizawadi kidogo hampeani? amazing, inaonekana kila mmoja ana ''atanipa yeye, mm wala simpi labda aniombe''.
 
duh, yaani wewe ni tatizo la kitaifa.
Anyway, kuna watu huwa hawajiongezi.
 

Mgonjwa haulizwi dawa,mpe uone kama atakataa..
 
mmmh huwa ni ngumu sana ..kukaa na mtu wa tabia yako ki ukweli inaashiria hat aukiingia nae kwenye family atakuwa si baba bali .....
kwani hujui kutoa kabisa je watoto utawaangalia kama mama tu umeshindwa .
mmh huyu dada apate uwezo zaidi na kazi ni kwake!!!
 

speaking from experience..hata mimi siombi kwakweli,but ningependa ajielewe mwenyewe..hata dates utalipa(girl),ila there is something so bg missing..ni malezi nadhani.
 

Ila na wewe una roho ngumu,hujawahi hata kumnunulia ka ua ka upendo?hebu badilika bana onyesha kumjali mwenzio.
 
akikuomba utalalamika pia. kakaa kimya unalalamika. tuseme basi kuna mtu mwengine ambaye anamuomba?
 

kama hakuombi si umpe wewe uone kama atakataa.
 
Wakiombwa matatizo, wasipoombwa matatizo.

Kazi kwenu wanawake na wasichana. Hapo ni kumjua mtu wako tu.

Mazee kwa nini unafikiri ni lazima akuombe? Unafikiri mwanamke hawezi kuwa na mahusiano bila kuombaomba?

Au ile ombaomba unaifurahia kwa sababu inaongeza ubwana na inakupa kibesi cha ownership?

Au wewe ulivyo tu ni Papaa CEO type yaani maana ya penzi kwako ni ATM largesse na bila kutoa hujisikii vizuri?
 

mkuu shukuru zali hilo akiaanza kukuomba uje na uzi mwengine sawa..
 
Anafanya sahihi ila usitumie ukimya huo nawe kuwa kimya, zawadi zina umuhimu wake katika mapenzi hasa zile ambazo mtu hakukuomba ila unampa kwa mapenzi uliyonayo kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…