Mbona haniombi kitu?

labda anakuona pochi alolo ndo mana hakuombi maana anajua asije akalianzisha halafu wewe ukaendeleza
 

mamii hawajui wanataka nini, wengi wapo wapo tu, ukimpenda anadhani umependa walet yake, na ukipenda walet yake anaanza kupiga mayowe ati anaibiwa
 
@mtukwao
wewe muliza swali ndo unatatizo coz yaonyesha ushazoea kuchunwa kweli.
 
mamii hawajui wanataka nini, wengi wapo wapo tu, ukimpenda anadhani umependa walet yake, na ukipenda walet yake anaanza kupiga mayowe ati anaibiwa

Ndo tatizo watu wanaoishi kwakukariri maisha
 

kwan kuonyesha unamjali mtu ni lazima utumie pesa we......... Nini
 
Mkuu hiyo ni hali ya hatari sana...sio kama hahitaji msaada wako..ni kwamba anakuangalia na kujiuliza hivi huoni kama anaweza kuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwako...hutoi kwa vile anashida au amekuomba hapana...hii inaweza kuja kuleta shida baadae maana huna hiyo tabia ya kutoa...mkiishi pamoja hatakuomba hela ya matumizi lakini wewe utaona matumizi yanapatikana nyumbani. sasa hapo utajiuliza mbona sijatoa hela ya kununua hichi kitu? watu kama hao ni hatari sana..wakimya lakini ni mtego kujua kama mwanaume anayatambua majukumu yake au sivyo...shtuka mkuu chukua tafadhari toa support kwa mtarajiwa bila kusibiri yeye kuomba.
 
Uncle iko tatizo...mwanamke ameumbwa as receiver lol yeah thats true. Wewe mhonge kama atakataa. Mimi naona huyo keshakuona kuwa labda mnaendana mambo yote bali katabia ya ubakhili unayo. Ana malengo yake, but simple mimi naona haileti picha...I would have labelled you names and worst still inawezekana ukawa mume suruali.

Labda kesha kuomba kiaina yaani sometimes indirectly mtu aweza kukuelezea matatizo yake, kama mtu inafikira pevu utajua tu kama msaada unahitajika, kwahiyo yawezekana umeombwa but ukawa mzio kufahamu tendawili hilo.

Bwana mwanamme asipohonga hata ua/flower ananitoa taste vile, just that.
 
Kuna watu hawana tabia ya kuomba hata kama ana shida aakaa kimya. Wewe jitambue, na tambua nafasi yako.
Wewe angalia uwezo wako, toa msaada pale unapo weza sio mpaka uombwe. kama mnapendana kweli, she is the ideal Girl if not woman.
 
Kausha tu mkuu wala hakuna tatizo, tena anaweza kuanza kukupa yeye hapo ndo utajua kuwa kuna mwenzako anaemgaramikia. (KULA KWA NAKSHINAKSHI)
 
Mapenzi yanastaili nyingi, hii ya kwenu pia ni ya aina yake!
 
Wengine huwa hatuwezi kuomba. Inawezekana na huyo mmojawapo. Ni tabia tu ya mtu usihofu. Ina maana hata zawadi hampeani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…