concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
Umemaliza kila kitu wewe sina la kusema mimi.Alafu achakumuita mpenzi wako demu sawaee!!
Saa nyingine kunamambo yanayo changia kupitliza tarehe za hedhi
- Kuwa na mawazo(stress)
- Kubadilisha hali ya hewa(Mazingira)
- Ujali wa chakula(vyakula anavyo kula vinaweza sababisha pia)
- Matumizi ya madawa mara kwa mara(Medical treatment)
- Kuwa na uzito kuzidi kiasi
- pia kupungua uzito kupita kiasi
- Maradhi(Kuugua mara kwa mara au maradhi ya muda mrefu) Cc MziziMkavu
Alafu achakumuita mpenzi wako demu sawaee!!
Saa nyingine kunamambo yanayo changia kupitliza tarehe za hedhi
- Kuwa na mawazo(stress)
- Kubadilisha hali ya hewa(Mazingira)
- Ujali wa chakula(vyakula anavyo kula vinaweza sababisha pia)
- Matumizi ya madawa mara kwa mara(Medical treatment)
- Kuwa na uzito kuzidi kiasi
- pia kupungua uzito kupita kiasi
- Maradhi(Kuugua mara kwa mara au maradhi ya muda mrefu) Cc MziziMkavu
Duh una rahaa..me nina mzunguko mfupi hadi shida...yani ni 23 hadi 26....
Nilikasirika mwezi wa Ramadhan nliingia period mara mbili....
Asante na sie wengine tunanufaikamo humohumo....mimi pia nna tatizo kwenye hyo sekta (naliita tatizo kwa kwa sababu naona si kawaida). Nna mzunguko mrefu sana....naweza kwenda siku 35 hadi 40 na mimi najua kawaida ni siku 28 hadi 30
Hahaha Eti tunanufaikamo himohumo....hahah