Mbona hatujivunii hawa?

Fundi Mchundo

Platinum Member
Joined
Nov 9, 2007
Posts
10,448
Reaction score
8,705

Katika nchi tuliyokuwa na upungufu wa role models ni vizuri kusoma kuwa bado kuna wazaliwa wa nchi yetu hawajakata tamaa na wanajaribu kuleta tofauti katika maisha ya muafrika. Mzungu, ndio, lakini ni muafrika kamili!
 
Nabii hathaminiwi kwao? "Katika miaka ya hivi karibuni, tumejenga tabia ya self criticism kiasi kwamba tumesahau kuwa kuna mazuri pia tuliyonayo ambayo tunastahili kuyathamini" alisema Prof. Palamagambo Kabudi, juma lililopita.
 
Katika nchi tuliyokuwa na upungufu wa role models ni vizuri kusoma kuwa bado kuna wazaliwa wa nchi yetu hawajakata tamaa na wanajaribu kuleta tofauti katika maisha ya muafrika. Mzungu, ndio, lakini ni muafrika kamili!

Nataka waseme "Waafrika Ndivyo Tulivyo" na hapa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…