Hali zenu wanajf......natumai wote ni wazima......
Leo nataka nitoe dukuduku langu la siku nyingi......wenzetu wembamba,wanene,wafupi,warefu,weupe,weusi wanasifiwa mbona sisi size ya kati hatusifiwi????? Naamini sisi ndo tupo vizuri.......kwasbb sio wanene wala si wembamba,na wala si wafupi na si warefu..............jamani ndo mmetusahau ama vipi??
Tusifieni na sisi