Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Zamani awamu za nyuma, kulikuwa na wazee wa Dar es salaam.
Hawa mara kwa mara wangeweza kufanya vikao na mkuu wa nchi kuhusiana na mambo mbalimbali ya nchi.
Awamu iliyopita ni kama walipuuzwa na awamu hii ni kama wamesahaulika.
Je zama zao zimekwisha?