mbona hii second round ya application tcu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
wakuu mbona hii second kwenye kuapply inanipa slot moja tu..... au ndo wametubania kihivi?????
 
Hayo ndio maelekezo kwani ndio kozi ambazo bado zina nafasi, kumbuka kujaza mapema kwani kadiri unavyochelewa ndivyo zinazidi kupungua ikiwa zitajazwa mapema.
 
mliokwisha download hayo mjina tupieni huku kwani webu yao inasumbua sana,vipi kwenye profile inakuaje ugundue kuwa unaitaji kuaplai tena second round? MTUJUZE
 
mliokwisha download hayo mjina tupieni huku kwani webu yao inasumbua sana,vipi kwenye profile inakuaje ugundue kuwa unaitaji kuaplai tena second round? MTUJUZE

Ukiclick kwenye view my selection status inakuletea Sorry you have not yet applied.
 
Orodha ya waliochaguliwa mbona tcu wako kimya?
 
Nimemfanyia mshkaji wangu hapa asee hiyo kitu inauma kinyama,yani wameweka kozi zenye available slots pale uchague.Kama hakuna unayoifeel basi ndo ivo unachagua ivo ivo bila kupenda.Walioenda jkt hapa wataingizwa loss sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…