Mbona hii show ya Castle Lite unlock 'haijakiki'?

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Kuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama haijakiki sana yaani kama show zingne kubwa ambazo huwa talk of the town, tatzo nn haswa watu hawana hela au promotion imekuwa chini ya kiwango au tatzo ni kwa wasanii husika ambao watalipamba jukwaa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wataenda tu labda wewe ndio hutaenda
 
Interesting

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Weka bando la kutosha kuanzia tarh 22 mpaka alfajir ya tarh 23 pitia insta utakutana tu na hayo matukio.. ukiyakosa huko nitakuwepo leaders pale.nitarudi kukusimulia..
 
Kwasababu MC Ali Kiba hatakuwepo jukwaani.
 
Show haijakiki lakini imeweze kumfikirisha mtu hadi kaamua kuifungulia thread

Tanzania ya vi wonder ina load........................

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan mtu cjui katumia vgezo gani au kwa sabab undergrnd wao hayupo asubiri tareh 22 atuletee mrejeshoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu waandaaji wajanja wamechagua wasanii wa bongo wa kimataifa zaidi , kubali kataa Vanessa kwasasa ana kiki nje ya nchi zaidi ya Alikiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…