Mbona hii show ya Castle Lite unlock 'haijakiki'?

Diamond kafiwa na mama mkwe wake ,mama yake Zari na maziko Siku ya show hii, patamu hapoo ila najua Diamond hawezi kuwaangusha clouds kwake bora akose mazishi
 
Itakick vipi wakati le mtumbo ndio promoter.
 
Halafu waandaaji wajanja wamechagua wasanii wa bongo wa kimataifa zaidi , kubali kataa Vanessa kwasasa ana kiki nje ya nchi zaidi ya Alikiba
Bila kuleta ushahidi we tutakuita mnafiki.
 
Show ilikuwa poa sana, weusi waliliamsha dude, Simba kama kawaida, vinywaji vyakutosha na people nyomi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe ni jana hahahahhahaha kusema ukweli sijaisikia hata kidogo..... indeed watu wamechoka. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…