Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
Kama binadamu kuna ambao watabaki na wengine watakufa...., ni kweli kila mtu atakufa ila vifo vya kizembe ni uzembe....Tuache kuinenea nchi yetu au kuiwazia mawazo mabaya! Hata Bwana ametusaidia! Tutavuka. Amen
Mkuu ndini ni chombo cha kucontrol minds za watu na hutumia hofu kama sila kubwa kuwatawala watu....ndio maana mara nyingi serikali hasa za afrika zmekuwa zktumia dini kufanisha mambo yake. Sasa mtu anabishana na wataalam na kupinga kwamba corona haiui kwasabb tu sheikhe wake au padre wake hajamtangazia na huku anaona watu wanakufa. Hapo fungu likipita kwa mashehe na mapadri mbona makanisa na misikiti inafungwa tatzo hawajaona bado kwahyo na wao wanawasisi wasi watakula wapi unaachiaje sadaka wkt fungu halijapitaNaamini wewe na baadhi ya watu wengine hampendi kuwapa wananchi hofu, you're collect kabisa ila sasa lazima tuchukue tahadhari pale inapobidi, hii biashara ya kuchukua hofu ya viongozi kutotoa matamko au kuzoa matamko ya kubebana haitakuwa na tija kwa jamii zaidi ya kuleta madhara in future.
Wala sitanii nimeandika kiroho wewe umetafsiri kimwiliEsther hiki sio kipindi cha ku chalenjiana na kubeza! Nakushauri acha kuingiza siasa. Hii kitu ni real na inaua.
Kama hadi sasa hujapoteza ndugu au rafiki au jirani, piga magoti mshukuru Mungu wako na acha kubeza chochote
Usijione kuwa na hekima machoni pako mwenyeweHakuna aliyekulazimisha kuwa mpumbavu ni uamzi wako tu.
Zaburi 35; Zaburi 109Mpaka yakukute ndio akili itarudi,wewe endelea kujitoa ufahamu.
Watu wanakata moto wewe unaleta mizaha.
Mambo ya Rohoni yanatambulikana na watu wa RohoniUnaleta siasa kwenye maisha ya watu
Hizo nchi zilizoendelea na ambazo wamefuata taratibu na kanuni za WHO mbona wanakufa kuliko hawa masikini ambao hata hela ya kununia barakoa hana?Kama binadamu kuna ambao watabaki na wengine watakufa...., ni kweli kila mtu atakufa ila vifo vya kizembe ni uzembe....
Wewe wataalamu ambao ndio kazi yao usiku na mchana kuchunguza haya mambo wanakwambia social distance unless ni absolutely necessary wewe unakwenda kujirundika na watu alafu unasema utavuka ? (naam utavuka kwenda the other side... AKA Six Feet Under) hususan kama immunity yako ni haba....