Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 579 Nov 11, 2010 #1 View attachment Amini usiamini matokeo ni haya.pdf Hebu ona hii habari inayozunguka Yahoo kuhusu matokeo ya uchaguzi. Haingii akilini kwa kweli.
View attachment Amini usiamini matokeo ni haya.pdf Hebu ona hii habari inayozunguka Yahoo kuhusu matokeo ya uchaguzi. Haingii akilini kwa kweli.
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 256 Nov 11, 2010 #2 Mbona kuna kura zenye nukta. Nahisi sio sahihi.
Gwallo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 3,408 Reaction score 4,392 Nov 11, 2010 #3 dotto said: Mbona kuna kura zenye nukta. Nahisi sio sahihi. Click to expand... hata mimi nimeona hivyo, sijawahi kusikia kura kadhaa na nukta fulani
dotto said: Mbona kuna kura zenye nukta. Nahisi sio sahihi. Click to expand... hata mimi nimeona hivyo, sijawahi kusikia kura kadhaa na nukta fulani
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 256 Nov 11, 2010 #4 dotto said: mbona kuna kura zenye nukta. Nahisi sio sahihi. Click to expand... haiko sawa kabisa fafanua.
dotto said: mbona kuna kura zenye nukta. Nahisi sio sahihi. Click to expand... haiko sawa kabisa fafanua.
bigcell JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 219 Reaction score 60 Nov 11, 2010 #5 Masters of chakachuaring,hao ndo ccm kiboko ya ujambazi sio wizi MUNGU WEEEEEEE! Fimbo yako iwachape sisiem kwa haya waliyoyafanya.
Masters of chakachuaring,hao ndo ccm kiboko ya ujambazi sio wizi MUNGU WEEEEEEE! Fimbo yako iwachape sisiem kwa haya waliyoyafanya.
Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 579 Nov 12, 2010 Thread starter #6 Sawa ina nukta, lakini nadhani spread sheets au exel zote ukiandika kama ulishasahau kuicommand computer yako kutoandika na decimals itakuwekea .00. Point hapa ni namna figures zilivyo na ujumla wake.
Sawa ina nukta, lakini nadhani spread sheets au exel zote ukiandika kama ulishasahau kuicommand computer yako kutoandika na decimals itakuwekea .00. Point hapa ni namna figures zilivyo na ujumla wake.