Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

That's a no-brainer.
Mtanzania tu ndiye anaweza dhani State House yao inavutia.

Uganda walipenda State House ya Nairobi sana, mpaka wakajenga State House identical huko Entebbe 2008.
Na og statehouse ya Tz inajengwa Dodoma, ngoja likamilike utaona, ubora tutawazidi zaidi. Hamna style nyinyi. Bora liende tu.
 
Hahaha! 😀 Eti Braebun School, hivi unajua wamiliki wa mashule ya Braebun ni kina nani? Au wewe uliona tu Arusha Branch ukajua ni ya watanzania? Braebun Group of Schools zinamilikiwa na wakenya. The jokes on you! [emoji1]
Si ndio state house yenu inafanana na dormitories za braeburn.
Kwamba inamilikiwa na wakenya hilo mm ndio nakusikia.
Kumbe your statehouse wa really a dormitory
 
Hiyo ya Tanzania inakaa msikiti fulani hivi, nyie waarabu walishawameza.
One looks like the Greek Parthenon.
The other looks like an Arab mosque.
Ya bongo kama msikiti ya kenya iko vzr mtoa mada akili yako ina kimba kichwani
Hiyo ya TZ inakaa msikiti
Its called class, hiyo ya TZ inakaa jumba la Mosque
Hiyo ya chini nilidhani msikiti wa maka
Yani Danganyika ilijenga msikiti for a parliament...Waaah
Castle la kiarabu ....msikiti hilo.
Jumba bovu kishenzi.
Mbona hiyo statehouse ya Tanzania inafanana na Mosque ya Mariakani?

Hizo kuta za nje ziko wazi (zina arches ) kwa ajili ya kuacha hewa ipite na kuhakikisha kuta za ndani ya jengo zina kaubaridi . Kumbuka Dar kuna joto kali sana ila kama kuna kaupepo joto hupungua, hivyo wajerumani walisanifu majengo hayo ili yawe yanapitisha hewa vizuri pembeni mwa jengo. Waliweka umbo la "arches" badala ya "squares" kwa sababu "arches" zinatengeneza umbo imara zaidi.

Haya ni baadhi ya majengo waliyojenga wajerumani Dar es salaam.









Arches siyo Msikiti ni usanifu wa kiuhandisi.
Madaraja na majengo ya zamani yenye uwazi mpana katikati huwa yana "arches" ili kubebea uzito wa juu. Walifanya hivyo kwakuwa mawe (waliyotumia kujengea) ambayo japo kuwa ni magumu sana, huvunjika kirahisi (brittle). kwa kutumia umbo hilo la "arch" uzito wa juu unapelekwa chini kuelekea umbo la arch na hivyo kuzuia nyufa kutokea na hatimaye kuvunjika. Siku hizi wajenzi hutumia zege na nondo ( reinforcing bar or rebar) ili kuzuia kuvunjika huko kwa kuwa steel ina tabia ya kuvutika kama zilivyo metali nyingine.

Roman Aqueduct
 
Sijapata mantiki ya uzi huu..Kwa uelewa wangu, "kuvutia" ni jambo la kibinafsi sana..kuna watu husema demu akiwa na tako kubwa ana vutia, wengine wataona tako kubwa ni ishara ya demu yupo maji maji pale nyeti..ama hupo anabeba shehena la mv* mcooduni.
Mtashinda hapa hamtapata uafikiano, beauty is in the eyes of the beholder
 
Imejengwa na governor mwingereza ndg. Horace byatt, 2019
Wewe na Wikipedia nani anaongea ukweli?

Wikipedia inasema jengo lilijengwa na British Governor Horace Byatt mwaka 1922.
Architect alikuwa John Sinclair.
View attachment 1109589



Jengo lilijengwa na Wajerumani, Waingereza walijenga juu baada ya paa la lile la zamani kuungua na baadae kuongezea mengine ila utaona kwenye picha lile original likifanana na hili la sasa.
 
Hahaha! 😀 Eti Braebun School, hivi unajua wamiliki wa mashule ya Braebun ni kina nani? Au wewe uliona tu Arusha Branch ukajua ni ya watanzania? Braebun Group of Schools zinamilikiwa na wakenya. The jokes on you! [emoji1]
They partnered with Tanzanian in Tanzania for Arusha n Dar schools!
 
Na og statehouse ya Tz inajengwa Dodoma, ngoja likamilike utaona, ubora tutawazidi zaidi. Hamna style nyinyi. Bora liende tu.

Only a poor fool from a poor country would brag about a building a presidential palace in this day and age.
Dunia ilisonga.
Presidents and PMs of today are supposed to live humble lives.
Marais wa Europe wanapanda treni kila asubuhi kwenda ofisi, na wewe bongolala unafurahi rais kujenga palace mpya?
 
Mkuu umenisikitisha Sana. Ukumbi wa Bunge la Tanzania ni mzuri na wa gharama Mara elfu ya ule wa mabunge ya uingereza, lakini ndio Bunge lenye vilaza wengi kuliko mabunge yote duniani[emoji39][emoji16]
Kweli mkuu [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Ndio ivyo buda, gova inahamia dom, and a statehouse is under construction.
Likitengamaa dude tunakuja watambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…