GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Ila alikuwa ameimudu sana hiyo Wizara.Alikuwa ameanza kusifiwa wakati kwa mfumo wetu anayetakiwa kusifiwa ni mmoja tu
mbona kasikika juzi tu akipiga pini xSijui ni mimi tu ndiyo simsikii!
Alipokuwa Waziri wa Ardhi, ilikuwa ni nadra sana wiki kupita bila habari zake kutamba mtandaoni. Aliimudu sana hiyo Wizara.
Kwa kadiri ya uelewa wangu, yeye ndiye Waziri bora kuwahi kuiongoza hiyo Wizara. Nashangaa kwa nini aliondolewa!
Huu ukimya ni wa kawaida au mimi ndiyo sibahatiki kukutana na habari zake?
Hilo nalo nenoAlikuwa ameanza kusifiwa wakati kwa mfumo wetu anayetakiwa kusifiwa ni mmoja tu