Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hujui maana ya Yanga kuita byut byutNimeangalia jezi zao zote naona ni za akina Mobeto na Paula. Ntashangaa kukutana na dume zima limevaa.Aibuu tu![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji15]
Hawa ndo mashabiki wa Tanzania, kizuri ni cha kwao tu. Mnachosha wanaojua ushabiki.Nimeangalia jezi zao zote naona ni za akina Mobeto na Paula. Ntashangaa kukutana na dume zima limevaa.Aibuu tu![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji15]