Mbona JK hajaonekana msibani kwa Professor Mutakyahwa UDSM

G. Activist

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
482
Reaction score
125
CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM) KIMEONDOKEWA NA PROFESSOR MUTAKYAHWA NGULI WA MIAMBA

Kwanza poleni sana wanajumuiya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kupotesa mtu muhimu kama huyu, ni wazi alikuwa amebobea sana kataka field yake ya miamba. watu wengi sana hasa wale waliokuwa wanasomea miamba na madini wanamjua vizuri sana.
Professor alikuwa anamchango mkubwa sana kwa Taifa, hususani kwenye makampuni ya madini ama Kabanga nickel, Na mengine mengi sana.
Leo tumemuaga Professor, nimeshangaa kuona hakuna kiongozi hata mmoja aliyekuwepo pale msibani... Hivi michango ya wasomi wetu katika taifa haitambuliki au??? Au watu huenda mahali pale ambapo wanaamini watapata Publicity..... Shame on viongozi wetu.
 
Alilia sana jana kwenye msiba wa msanii mwenzake,red cross wameshauri leo apumzike.
 


wa tanzania hawakustuka kama kifo cha mpendwa wetu kanumba!.... Umati uliojaa nyumbani kwake ilikuwa ni ushahidi tosha JK ilibidi aende..!

kesho usije ukauliza mbona hajakwenda kwenye msiba wa mjumbe wenu wa nyumba kumi kumi!!

R.I.P prof.!!
 
wataalamu hawana umuhimu wowote tz
wassira aliwai kusema shivji ajui kitu eote kuhusiana na sheria
 
daah kwa sie tunao soma Geology nadhani inatuhusu xana.
tumempoteza mtu muhimu xana.
pole xana kwa ndugu Jamaa marafiki na wana UDSM wote.

salam toka UDOM.
 
Priority matters a lot and it is due to something known as "Area of interest" so don't wonder!
 
JK anaangalia press coverage kabla ya kuhudhuria misiba.Umuhimu wa msiba unaendana na idadi ya camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…