Elections 2010 Mbona JK hakumshukuru Riziwani jana?

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Jamani mbona JK hakuwashukuru riziwani na miraji jana pale Janngwani? Alimshukuru mke wake tu. Au aliogopa usemi wa BMW (baba, mama, watoto)?

Halafu alikumbushia siasa za majitaka kwa kusema wengine wameazima wake za watu kwenda nao Ikulu! Alijua jana ilikuwa siku ya mwisho wa kampeni kwa hiyo Dr Sllaa asingepata muda wa kuzijibu.

Hata Kinana sikusikia akishukuriwa.

Kama kawaida yake mkapa alikuwa njwiiii. Kati ya sifa za mkapa ni pamoja na ulevi na kula chakula kingi sana. Na akilewa huropoka sana, kama alivyofanya jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…