pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Jibu zuri kwa mtindo wa swali!Kabendera ni kiongozi au mbunge wa chama gani?
Katika mashtaka waliyosomewa kuna hata moja la mauaji?Kabendera alikiri kwa kinywa chake makosa yake, which means hakuonewa na alistahili kuadhibiwa. asingekiri halafu akahukumiwa kulipa fine, definitely sisi Watanzania tungemchangia ndani ya 24 hours.
kina Mbowe hawakukiri makosa, na kibaya zaidi aliyemuua binti yetu Aquiline yuko mtaani anapumua kwa raha zake... hapa ndipo hasira ya sisi Watanzania kuwachangia kina Mbowe ilipokuja ghafla bila kujali itikadi zetu (mimi ni CCM baridi by the way!)
swali la kujiuliza.... ni kwa nini shitaka la mauaji halimo?Katika mashtaka waliyosomewa kuna hata moja la mauaji?
swali la kujiuliza.... ni kwa nini shitaka la mauaji halimo?
ina maana hakuna aliyeuawa??
Wakati hukumu ya mwanahabari Eric Kabendera imetoka na kuamuriwa Alipe zaidi ya fedha za kiTanzania milioni mia mbili sikuona wanaharakati, wanahabari wala wafadhili wakichangisha fedha.
Kwa hukumu hiii iliyotoka dhidi ya viongozi waandamizi wa chama kikuu cha upinzani nchini nimeona ni ajabu kampeni za michango karibu dunia nzima ili kupata fedha za Kitanzania milioni mia tatu na hamsini, cha kustaajabisha sasa hata pamoja na Mashinji kuhama chama na kuchangiwa na chama chao kipya kiasi cha shilingi milioni thelathini, hivyo kufanya deni lililbakia kuwa milioni mia tatu na ishirini lakini wachangishaji bado wamesisitiza kuwa hela wanayotakiwa kulipa ni 350,000,000.
Nashindwa kuelewa Kabendera alikuwa na deni la zaidi ya milioni 200. Wale wote waliokuwa wanatembeza hashtag hawakujiongeza kufanya kampeni ya michango, na chama kikuu upinzani nchini kimeshindwa kulipa fedha hizo licha ya ruzuku, mishihara yao ya ubunge na wahisani.
Hapa kuna maswali ya msingi, kwanini hakuchangiwa alikuwa na fedha za kutosha yeye mwenyewe ambazo chadema hawana? pili kwa nini wameendelea kukusanya milioni Mia tatu hamsini hata baada ya mashinji na Msigwa kulipiwa?Kabendera alikiri kwa kinywa chake makosa yake, which means hakuonewa na alistahili kuadhibiwa. asingekiri halafu akahukumiwa kulipa fine, definitely sisi Watanzania tungemchangia ndani ya 24 hours.
kina Mbowe hawakukiri makosa, na kibaya zaidi aliyemuua binti yetu Aquiline yuko mtaani anapumua kwa raha zake... hapa ndipo hasira ya sisi Watanzania kuwachangia kina Mbowe ilipokuja ghafla bila kujali itikadi zetu (mimi ni CCM baridi by the way!)
Hivi Eric Kabendera ni kiongozi wa Chadema, mwanachama wa Chadema au Je mashtaka yaliyokua yanamkabili yanauhusiano wowote na harakati za kisiasa???Hapa kuna maswali ya msingi, kwanini hakuchangiwa alikuwa na fedha za kutosha yeye mwenyewe ambazo chadema hawana? pili kwa nini wameendelea kukusanya milioni Mia tatu hamsini hata baada ya mashinji na Msigwa kulipiwa?
1) hakuchangiwa kwa vile alikiri makosa ya kihalifu. uhalifu ni uhalifu tu!Hapa kuna maswali ya msingi, kwanini hakuchangiwa alikuwa na fedha za kutosha yeye mwenyewe ambazo chadema hawana? pili kwa nini wameendelea kukusanya milioni Mia tatu hamsini hata baada ya mashinji na Msigwa kulipiwa?